sw_tn/ezk/07/20.md

566 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.

nitawapatia hivyo vitu kwenye mikono ya wageni

Neno "mkono" umetumika unarejelea mamlaka. "nitazitoa hizo sanamu kwenye mamlaka ya watu wasio wajua" au "nitazitoa hizo sanamu kwa watu wasio wajua"

mateka

viyu vilivyopotea au kuchukuliwa kwa nguvu

watawanajisi

Wageni na watu waovu watazinajisi sanamu ambazo watu wa Israeli walizo zitengeneza.

nitaurudisha uso wangu mbali

"sitakuwa makini" au "sitatazama"

mahali pangu pa siri

"mahali nipapendapo" Hii inarejelea kwa hekalu la Mungu.