# Maelezo ya Jumla: Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli. # nitawapatia hivyo vitu kwenye mikono ya wageni Neno "mkono" umetumika unarejelea mamlaka. "nitazitoa hizo sanamu kwenye mamlaka ya watu wasio wajua" au "nitazitoa hizo sanamu kwa watu wasio wajua" # mateka viyu vilivyopotea au kuchukuliwa kwa nguvu # watawanajisi Wageni na watu waovu watazinajisi sanamu ambazo watu wa Israeli walizo zitengeneza. # nitaurudisha uso wangu mbali "sitakuwa makini" au "sitatazama" # mahali pangu pa siri "mahali nipapendapo" Hii inarejelea kwa hekalu la Mungu.