sw_tn/ezk/07/14.md

24 lines
626 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.
# Wamepiga tarumbeta
"Wamepiga tarumbeta kuwaita watu kupigana juu ya adui.
# Upanga uko nje
Upaga unawakilisha mapambano au vita. "Kuna mapigano nje."
# pigo la njaa lipo ndani ya jengo
Kimsing jungo hurejea kwenye mji
# wakati njaa na tauni zitakapowala wale waliopo kwenye mji
Hapa neno "kula" linamaanisha "haribu kabisa." "na watu wengi katika mji watakufa kutokana na njaa na ugonjwa."
# Kama hua wa mabondeni, wote watalia
Hua hufanya kambi chini kunusa hiyo milio kama mlio mtu afanyayo wakati akiwa katika maumivu ya kawaida au maumivu ya ndani.