sw_tn/ezk/07/14.md

626 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.

Wamepiga tarumbeta

"Wamepiga tarumbeta kuwaita watu kupigana juu ya adui.

Upanga uko nje

Upaga unawakilisha mapambano au vita. "Kuna mapigano nje."

pigo la njaa lipo ndani ya jengo

Kimsing jungo hurejea kwenye mji

wakati njaa na tauni zitakapowala wale waliopo kwenye mji

Hapa neno "kula" linamaanisha "haribu kabisa." "na watu wengi katika mji watakufa kutokana na njaa na ugonjwa."

Kama hua wa mabondeni, wote watalia

Hua hufanya kambi chini kunusa hiyo milio kama mlio mtu afanyayo wakati akiwa katika maumivu ya kawaida au maumivu ya ndani.