sw_tn/ezk/07/01.md

28 lines
447 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Hii inaanza na utabiri wa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli.
# Neno la Yahwe likanijia
"Yahwe akanena nami."
# Wewe, mwana wa adamu
"Mwana wa adamu, nataka uwe makini kwa kile ninachoenda kukwambia"
# Bwana Yahwe
Hili jina la Mungu wa kweli alilojifunua katika taifa la Israeli.
# kwa nchi ya Israeli
"kwa watu wa Israeli".
# Mwisho!
"Mwisho umefika!"
# mipaka minne ya nchi
Hii inarejelea kwa nchi nzima ya Israeli.