sw_tn/ezk/07/01.md

447 B

Maelezo ya Jumla:

Hii inaanza na utabiri wa hukumu ya Yahwe juu ya Israeli.

Neno la Yahwe likanijia

"Yahwe akanena nami."

Wewe, mwana wa adamu

"Mwana wa adamu, nataka uwe makini kwa kile ninachoenda kukwambia"

Bwana Yahwe

Hili jina la Mungu wa kweli alilojifunua katika taifa la Israeli.

kwa nchi ya Israeli

"kwa watu wa Israeli".

Mwisho!

"Mwisho umefika!"

mipaka minne ya nchi

Hii inarejelea kwa nchi nzima ya Israeli.