sw_tn/ezk/06/04.md

397 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.

Kisha madhabahu zenu zitakuwa ukiwa na nguzo zenu zitaharibiwa

"Hakutakuwa na yeyote wakuabudu madhabahu zenu na adui wataziharibu nguzo zenu"

nitwatupa chini ... nitailaza ... na kutawanya

Yahwe alikuwa akinena juu ya kuwapeleka maaskari kuwatupa chini ... watalala ... na kutawanya."

maiti zenu

"watu wenu waliokufa"