# Maelezo ya Jumla: Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli. # Kisha madhabahu zenu zitakuwa ukiwa na nguzo zenu zitaharibiwa "Hakutakuwa na yeyote wakuabudu madhabahu zenu na adui wataziharibu nguzo zenu" # nitwatupa chini ... nitailaza ... na kutawanya Yahwe alikuwa akinena juu ya kuwapeleka maaskari kuwatupa chini ... watalala ... na kutawanya." # maiti zenu "watu wenu waliokufa"