sw_tn/ezk/06/01.md

669 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anamwambia Ezekieli kunena na milima kana kwamba walikuwa watu ili kwamba watu wa Israeli wangesikia maneno na kujua kwamba maneno ya Ezekieli yalikuwa kwa ajili yao.

Neno la Yahwe likanijia

"Yahwe akanena nami."

Mwana wa adamu

"Mwana wa mwanadamu" au "Mwana wa bianadamu."

weka uso wako juu ya milima ya Israeli

"tazama milima ya Israeli kwa uso wa nguvu."

milima ya Israeli

"milima ya Israeli katika nchi ya Israeli."

Tazama!

"Tazama!" au "Sikiliza!" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambia!"

Bwana Yahwe

Jina la Mungu

naleta upanga juu yako

Neno "upanga" hapa linarejelea vita. "ninaleta vita juu yako."