sw_tn/ezk/05/15.md

20 lines
592 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.
# katika hasira na ghadhabu
Neno "hasira" na "ghadhabu" kimsingi yana maana moja na kusisitiza mkazo wa hasira. "kwa sababu nitakuwa na hasira nanyi mno."
# mishale mikali
"mkazo wa njaa"
# vunja gongo lenu la mkate
"Gongo" kilikuwa kitu ambacho watu waliegama juu ya kuwasaidia. Hili neno ni mfano maana yake "kuondoa kusambaza chakula ambacho ukitegemeach." "katilia chakula chenu" (UDB)
# Pigo na damu vitapita juu yenu
"Pigo na kifo kikali sana kitapita juu yenu." Hiki kifo kikali kitasababishwa na vita.