sw_tn/ezk/05/15.md

592 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.

katika hasira na ghadhabu

Neno "hasira" na "ghadhabu" kimsingi yana maana moja na kusisitiza mkazo wa hasira. "kwa sababu nitakuwa na hasira nanyi mno."

mishale mikali

"mkazo wa njaa"

vunja gongo lenu la mkate

"Gongo" kilikuwa kitu ambacho watu waliegama juu ya kuwasaidia. Hili neno ni mfano maana yake "kuondoa kusambaza chakula ambacho ukitegemeach." "katilia chakula chenu" (UDB)

Pigo na damu vitapita juu yenu

"Pigo na kifo kikali sana kitapita juu yenu." Hiki kifo kikali kitasababishwa na vita.