forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
930 B
Markdown
40 lines
930 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.
|
|
|
|
# ishi-huu ndio usemi wa Bwana Yahwe-hii
|
|
|
|
Yahwe anajinenea yeye mwenyewe kana kwamba kulikuwa na mtu mwingine, au Ezekieli anawakumbusha wasomaji wake kwamba anamnukuu Yahwe.
|
|
|
|
# kama niishivyo
|
|
|
|
"kama niishivyo hakika." au "kama kweli iko hivyo ni hai, ni hakika pia kwamba"
|
|
|
|
# Bwana Yahwe
|
|
|
|
jina la Mungu
|
|
|
|
# najisi ... patakatifu
|
|
|
|
haribu mahali ambapo Yahwe alipokuwa ameweka karibu kuwa kwa matumizi yake pekee
|
|
|
|
# kwa mambo ya yanayoumiza
|
|
|
|
"kwa mambo yote yako yanayoumiza." "kwa sanamu zako zote, nizichukiazo" au "kwa sanamu zako zote za kuchukiza" (UDB)
|
|
|
|
# na kwa matendo yako maovu
|
|
|
|
"na kwa mambo yenu yote ya machkizo mliyoyafanya"
|
|
|
|
# jicho langu halitakuwa na huruma juu yako
|
|
|
|
Neno "jicho" ni mfano wa Yahwe. "sitakuwa na huruma juu yako"
|
|
|
|
# sitokuharibu
|
|
|
|
"nitakuadhibu hakika"
|
|
|
|
# wataliwa kwa njaa kati yako
|
|
|
|
"wengi wao watakufa kwa sababu ya njaa"
|