sw_tn/ezk/05/11.md

930 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.

ishi-huu ndio usemi wa Bwana Yahwe-hii

Yahwe anajinenea yeye mwenyewe kana kwamba kulikuwa na mtu mwingine, au Ezekieli anawakumbusha wasomaji wake kwamba anamnukuu Yahwe.

kama niishivyo

"kama niishivyo hakika." au "kama kweli iko hivyo ni hai, ni hakika pia kwamba"

Bwana Yahwe

jina la Mungu

najisi ... patakatifu

haribu mahali ambapo Yahwe alipokuwa ameweka karibu kuwa kwa matumizi yake pekee

kwa mambo ya yanayoumiza

"kwa mambo yote yako yanayoumiza." "kwa sanamu zako zote, nizichukiazo" au "kwa sanamu zako zote za kuchukiza" (UDB)

na kwa matendo yako maovu

"na kwa mambo yenu yote ya machkizo mliyoyafanya"

jicho langu halitakuwa na huruma juu yako

Neno "jicho" ni mfano wa Yahwe. "sitakuwa na huruma juu yako"

sitokuharibu

"nitakuadhibu hakika"

wataliwa kwa njaa kati yako

"wengi wao watakufa kwa sababu ya njaa"