sw_tn/ezk/05/05.md

493 B

Maelezo ya Jumla:

YAhwe anaendelea kunena.

Bwana Yahwe

Jina la Mungu

Hii ndio Yerusalemu

"Hili pango linawakilisha Yerusalemu"

katikati ya Mataifa

Maana ziwezekanazo 1) mataifa mengine yalikuwa pande zote za Yerusalemu au 2) "muhimuz aidi kuliko mataifa mengine."

nimemuweka

Yerusalemu inarejelewa kama "yeye" na "-kike."

nchi nyingine

"nchi jirani" au "nchi zinazozunguka"

Watu wamezikataa hukumu zangu

"Watu wa Israeli na Yerusalemu wamekataa kutii hukumu zangu."