sw_tn/ezk/05/05.md

28 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
YAhwe anaendelea kunena.
# Bwana Yahwe
Jina la Mungu
# Hii ndio Yerusalemu
"Hili pango linawakilisha Yerusalemu"
# katikati ya Mataifa
Maana ziwezekanazo 1) mataifa mengine yalikuwa pande zote za Yerusalemu au 2) "muhimuz aidi kuliko mataifa mengine."
# nimemuweka
Yerusalemu inarejelewa kama "yeye" na "-kike."
# nchi nyingine
"nchi jirani" au "nchi zinazozunguka"
# Watu wamezikataa hukumu zangu
"Watu wa Israeli na Yerusalemu wamekataa kutii hukumu zangu."