sw_tn/ezk/03/16.md

920 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaeleza kuhusu uzoefu wake huko Tel-Abibu.

neno la Yahwe likanijia

"Yahwe alinena nami."

mwangalizi

Mungu alimwambia Ezekieli kuwaonya wana wa Israeli kama mwangalizi alivyowaonya watu wa mji kama maaduli walikuwa wakija, hivyo wangeweza kujiandaa na kuwa salama.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" inasimama kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, kwa kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu Waisraeli"

onyo kwa waovu kuhusu matendo yao maovu ili aishi

"onyo kwa watu waovu kuacha kufanya mambo yake maovu ili aweze kuishi"

mwovu

"watu waovu"

kutaka damu yake kutoka kwenye mkono wako

Hii ni lugha inayoshikilia wajibu au hatia ya kuua. "nitakutenda kana kwamba ulikuwa umemuua"

hawezi kugeuka kutoka uovu wake au kutoka matendo yao maovu

Neno "matendo maovu" maana yake kitu kimoja kama "uovu." hakuacha kufanya mambo maovu."