sw_tn/ezk/03/16.md

32 lines
920 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Ezekieli anaeleza kuhusu uzoefu wake huko Tel-Abibu.
# neno la Yahwe likanijia
"Yahwe alinena nami."
# mwangalizi
Mungu alimwambia Ezekieli kuwaonya wana wa Israeli kama mwangalizi alivyowaonya watu wa mji kama maaduli walikuwa wakija, hivyo wangeweza kujiandaa na kuwa salama.
# nyumba ya Israeli
Neno "nyumba" inasimama kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, kwa kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu Waisraeli"
# onyo kwa waovu kuhusu matendo yao maovu ili aishi
"onyo kwa watu waovu kuacha kufanya mambo yake maovu ili aweze kuishi"
# mwovu
"watu waovu"
# kutaka damu yake kutoka kwenye mkono wako
Hii ni lugha inayoshikilia wajibu au hatia ya kuua. "nitakutenda kana kwamba ulikuwa umemuua"
# hawezi kugeuka kutoka uovu wake au kutoka matendo yao maovu
Neno "matendo maovu" maana yake kitu kimoja kama "uovu." hakuacha kufanya mambo maovu."