sw_tn/ezk/01/17.md

513 B

Sentensi Unganishi:

Ezekieli anaendelea kulezea maona yake

walienda bila kugeuka mahali popote viumbe walipokuwa wameelekea

"magurudumu yalikuwa yanaweza kwenda katika mahali popote penye njia nne ambapo viumbe walipokuwa wameelekea"

Kama kwa ajili ya kingo zao

"Hivi ndivyo kingo za magurudumu zilifanana"

walikuwa warefu na wakutisha

"kingo zilikuwa ndefu na zakutisha"

kingo zikuwa zimejaa macho yaliyozunguka

"kwa sababu kingo zilikuwa zilikuwa nyingi sana kuzunguka magurudumu yote manne"