sw_tn/ezk/01/17.md

20 lines
513 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Ezekieli anaendelea kulezea maona yake
# walienda bila kugeuka mahali popote viumbe walipokuwa wameelekea
"magurudumu yalikuwa yanaweza kwenda katika mahali popote penye njia nne ambapo viumbe walipokuwa wameelekea"
# Kama kwa ajili ya kingo zao
"Hivi ndivyo kingo za magurudumu zilifanana"
# walikuwa warefu na wakutisha
"kingo zilikuwa ndefu na zakutisha"
# kingo zikuwa zimejaa macho yaliyozunguka
"kwa sababu kingo zilikuwa zilikuwa nyingi sana kuzunguka magurudumu yote manne"