forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
744 B
Markdown
24 lines
744 B
Markdown
# Sentensi Unganishi:
|
|
|
|
Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake.
|
|
|
|
# kulikuwa na gurudumu moja juu ya nchi karibu na viumbe hai
|
|
|
|
"kulikuwa na gurudumu moja juu ya nchi karibu na kila mmoja wa viumbe hai, gurudumu moja kwa kila mweliekeo viumbe walipokuwa wameelekea"
|
|
|
|
# Huu ndio ulikuwa mwonekano na umbo wa hizo gurudumu
|
|
|
|
"Hivi ndivyo magurudumu yalivyofanana na jinsi yavyokuwa yametengenezwa"
|
|
|
|
# kama zabarajadi
|
|
|
|
Zabarajadi ni aina ya weupe, jiwe la thamani, mara nyingi la njano au rangi ya dhahabu."jeupe na manjano kama jiwe la zabarajadi"
|
|
|
|
# hayo manne yote yalikuwa sawa sawa
|
|
|
|
"yote manne ya magurudumu yalifanana"
|
|
|
|
# walifanana kama gurudumu linalofanana na jingine
|
|
|
|
"yalitengenezwa na gurudumu moja linaloenda kupitia gurudumu jingine"
|