sw_tn/ezk/01/15.md

744 B

Sentensi Unganishi:

Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake.

kulikuwa na gurudumu moja juu ya nchi karibu na viumbe hai

"kulikuwa na gurudumu moja juu ya nchi karibu na kila mmoja wa viumbe hai, gurudumu moja kwa kila mweliekeo viumbe walipokuwa wameelekea"

Huu ndio ulikuwa mwonekano na umbo wa hizo gurudumu

"Hivi ndivyo magurudumu yalivyofanana na jinsi yavyokuwa yametengenezwa"

kama zabarajadi

Zabarajadi ni aina ya weupe, jiwe la thamani, mara nyingi la njano au rangi ya dhahabu."jeupe na manjano kama jiwe la zabarajadi"

hayo manne yote yalikuwa sawa sawa

"yote manne ya magurudumu yalifanana"

walifanana kama gurudumu linalofanana na jingine

"yalitengenezwa na gurudumu moja linaloenda kupitia gurudumu jingine"