sw_tn/ezk/01/13.md

16 lines
429 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake.
# ulifanana kama mkaa uliochomwa, au kama tochi
"uling'aa kama mkaa katika moto mkali, au kama tochi"
# na kulikuwa na tochi imewaka
"na mwanga ulikuja kutoka kwenye moto."
# Hao viumbe hai vilikuwa vikihama mbio mbele na nyuma, na walikuwa na mwonekano wa radi
Tochi zilizowaka na kupotea upesi, na viumbe walienda kutoka upande mmoja kwenda mwingine upesi.