sw_tn/ezk/01/13.md

429 B

Sentensi Unganishi:

Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake.

ulifanana kama mkaa uliochomwa, au kama tochi

"uling'aa kama mkaa katika moto mkali, au kama tochi"

na kulikuwa na tochi imewaka

"na mwanga ulikuja kutoka kwenye moto."

Hao viumbe hai vilikuwa vikihama mbio mbele na nyuma, na walikuwa na mwonekano wa radi

Tochi zilizowaka na kupotea upesi, na viumbe walienda kutoka upande mmoja kwenda mwingine upesi.