forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.1 KiB
Markdown
32 lines
1.1 KiB
Markdown
# Sentensi Unganisha:
|
|
|
|
Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake
|
|
|
|
# Mwonekano wa nyuso zao zilikuwa kama uso wa mwanadamu
|
|
|
|
Ezekieli anaelezea nyuso za hao viumbe kwa upande wa mbele. "Nyuso za kila kiumbe zilionekana kama hivi: Mbele ya uso palionekana kama uso wa mwanadamu"
|
|
|
|
# uso wa simba kwa upande wa kuume
|
|
|
|
"kwa upande wa kulia wa kichwa chake palionekana kama uso wa simba"
|
|
|
|
# "uso ulikuwa wa maksai uapnde wa kushoto
|
|
|
|
"upande wa kushoto wa uso wa kichwa ulikuwa unafanana na uso maksai"
|
|
|
|
# mwishoni, uso wa tai
|
|
|
|
"mwishoni, uso wa upande wa nyuma wa kichwa chake ulifanana kama uso wa tai"
|
|
|
|
# mabawa yao yalikuwa yametawanyika juu, hivyo basi kila kiumbe kilikuwa na jozi ya za mabawa yaliyokuwa yameshikamana na bawa la kiumbe kingine
|
|
|
|
"kila kiumbe kilishikilia mabawa yake mawili ili bawa moja liligusa bawa la kiumbe upande mwingine wa kiumbe kingine, na bawa jingine liligusa kiumbe kwa upande mwingine wa kiumbe kingine"
|
|
|
|
# na pia njozi ya mabawa iliyokuwa imefunika miili yao
|
|
|
|
"Mabawa mengine mawili ya kila kiumbe yalifunika mwili wake"
|
|
|
|
# Kila mmoja alienda mbele
|
|
|
|
"Kila kiumbe kilienda na uso ukiwa umetazama mbele"
|