sw_tn/ezk/01/10.md

1.1 KiB

Sentensi Unganisha:

Ezekieli anaendelea kuelezea maono yake

Mwonekano wa nyuso zao zilikuwa kama uso wa mwanadamu

Ezekieli anaelezea nyuso za hao viumbe kwa upande wa mbele. "Nyuso za kila kiumbe zilionekana kama hivi: Mbele ya uso palionekana kama uso wa mwanadamu"

uso wa simba kwa upande wa kuume

"kwa upande wa kulia wa kichwa chake palionekana kama uso wa simba"

"uso ulikuwa wa maksai uapnde wa kushoto

"upande wa kushoto wa uso wa kichwa ulikuwa unafanana na uso maksai"

mwishoni, uso wa tai

"mwishoni, uso wa upande wa nyuma wa kichwa chake ulifanana kama uso wa tai"

mabawa yao yalikuwa yametawanyika juu, hivyo basi kila kiumbe kilikuwa na jozi ya za mabawa yaliyokuwa yameshikamana na bawa la kiumbe kingine

"kila kiumbe kilishikilia mabawa yake mawili ili bawa moja liligusa bawa la kiumbe upande mwingine wa kiumbe kingine, na bawa jingine liligusa kiumbe kwa upande mwingine wa kiumbe kingine"

na pia njozi ya mabawa iliyokuwa imefunika miili yao

"Mabawa mengine mawili ya kila kiumbe yalifunika mwili wake"

Kila mmoja alienda mbele

"Kila kiumbe kilienda na uso ukiwa umetazama mbele"