sw_tn/exo/40/03.md

230 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendela kumwambia Musa nini watu wafanye.

Utaweka sanduku la ushuhuda ndani yake

"weka sanduku la amri za agano katika kitunzi takatifu"

utaziba sanduku kwa pazia

"weka sanduku nyuma ya pazia"