# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendela kumwambia Musa nini watu wafanye. # Utaweka sanduku la ushuhuda ndani yake "weka sanduku la amri za agano katika kitunzi takatifu" # utaziba sanduku kwa pazia "weka sanduku nyuma ya pazia"