sw_tn/exo/40/01.md

178 B

Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ya mwaka

Mwaka mpya una hashiria wakati ambao Mungu aliwaokoa watu wake kutoka Misri. Hii inatokea wakati wa Machi kwa kalenda za Magharibi.