sw_tn/exo/39/36.md

228 B

Maelezo ya Jumla

Bezaleli na kundi lake wanaendelea kuonyesha yote waliyo mtengenezea Musa.

mkate wa wonyesho

Huu mkate uliwakilisha uwepo wa Mungu.

kiunzi

Hii ni fremu ya chuma iliyo shikilia mbao wakati inapo waka.