# Maelezo ya Jumla Bezaleli na kundi lake wanaendelea kuonyesha yote waliyo mtengenezea Musa. # mkate wa wonyesho Huu mkate uliwakilisha uwepo wa Mungu. # kiunzi Hii ni fremu ya chuma iliyo shikilia mbao wakati inapo waka.