sw_tn/exo/39/32.md

393 B

Maelezo ya Jumla

Waisraeli wana maliza kufanya vitu Yahweh alivyo waamuru katika 35:4 na 35:10

Basi kazi ya ile maskani ya hema la mkutano ikafikia mwisho wake. Kwa maana wana wa Israeli waliendelea kufanya kulingana na yote

"Maskani" na "hema la kukutani" ni kitu kimoja. Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

viunzi

Vifungo vinatoshea kwenye tanzi ili kushikilia pazia pamoja.