sw_tn/exo/39/32.md

12 lines
393 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Waisraeli wana maliza kufanya vitu Yahweh alivyo waamuru katika 35:4 na 35:10
# Basi kazi ya ile maskani ya hema la mkutano ikafikia mwisho wake. Kwa maana wana wa Israeli waliendelea kufanya kulingana na yote
"Maskani" na "hema la kukutani" ni kitu kimoja. Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# viunzi
Vifungo vinatoshea kwenye tanzi ili kushikilia pazia pamoja.