sw_tn/exo/39/25.md

252 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

kengele za dhahabu safi

Hizi zilikuwa kengele ndogo.

kengele na komamanga, kengele na komamanga

Hivi ndivyo mfumo una paswa kurudiwa chini ya pindo la joho.