# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani. # kengele za dhahabu safi Hizi zilikuwa kengele ndogo. # kengele na komamanga, kengele na komamanga Hivi ndivyo mfumo una paswa kurudiwa chini ya pindo la joho.