sw_tn/exo/39/04.md

282 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

ulikuwa wa kitambaa kilekile, kitani bora kilichosokotwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamuru Musa

"sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"