# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani. # ulikuwa wa kitambaa kilekile, kitani bora kilichosokotwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamuru Musa "sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"