sw_tn/exo/38/08.md

290 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

beseni ya shaba na kinara chake cha shaba

Kinara kilisaidia beseni ya shaba.

Kwa kutumia vioo

Shaba ilitoka kwa vioo.

vioo

Kioo ni kipande cha chuma kilicho ng'arishwa au glasi inayo onyesha umbo.