sw_tn/exo/38/08.md

16 lines
290 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# beseni ya shaba na kinara chake cha shaba
Kinara kilisaidia beseni ya shaba.
# Kwa kutumia vioo
Shaba ilitoka kwa vioo.
# vioo
Kioo ni kipande cha chuma kilicho ng'arishwa au glasi inayo onyesha umbo.