sw_tn/exo/37/23.md

347 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

Kisha akafanya ... talanta ya dhahabu safi

Kwa 37:23-24 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:37

vyetezo

Hichi ni kifaa kilicho tengenezwa kwa mifombo mbili au chuma iliyo unganishwa mwisho na kutumika kunyanyulia vitu.

talanta

"kilogramu 34"