sw_tn/exo/37/23.md

16 lines
347 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# Kisha akafanya ... talanta ya dhahabu safi
Kwa 37:23-24 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:37
# vyetezo
Hichi ni kifaa kilicho tengenezwa kwa mifombo mbili au chuma iliyo unganishwa mwisho na kutumika kunyanyulia vitu.
# talanta
"kilogramu 34"