sw_tn/exo/37/10.md

20 lines
500 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# Bezaleli akafanya ... ile miguu minne
Kwa 37:10-13 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:23 na 25:25
# Mikono miwili ... mkono mmoja ... mkono mmoja na nusu
"mikono 2" ... mkono 1 ... 1.5"
# upana wa kiganja
Huu ulikuwa upana wa mkono wa mwanaume na vidole vimetanuliwa
# ile miguu minne
Hivi vipande vinne vya mbao vilivyo saidia sanduku vinazungumziwa kana kwamba ni mwanadamu au miguu ya mnyama.