sw_tn/exo/37/10.md

500 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

Bezaleli akafanya ... ile miguu minne

Kwa 37:10-13 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:23 na 25:25

Mikono miwili ... mkono mmoja ... mkono mmoja na nusu

"mikono 2" ... mkono 1 ... 1.5"

upana wa kiganja

Huu ulikuwa upana wa mkono wa mwanaume na vidole vimetanuliwa

ile miguu minne

Hivi vipande vinne vya mbao vilivyo saidia sanduku vinazungumziwa kana kwamba ni mwanadamu au miguu ya mnyama.