sw_tn/exo/37/01.md

229 B

Bezalel

Hili lilikuwa jina la mwanaume.

Mikono miwili na nusu urefu

"mikono 2.5 ... mikono 1.5"

miguu yake minne

Hivi vipande viwili vya mbao vilivyo saidia sanduku vinazungumziwa kama ni mwanadamu au miguu ya mnyama.