# Bezalel Hili lilikuwa jina la mwanaume. # Mikono miwili na nusu urefu "mikono 2.5 ... mikono 1.5" # miguu yake minne Hivi vipande viwili vya mbao vilivyo saidia sanduku vinazungumziwa kama ni mwanadamu au miguu ya mnyama.