sw_tn/exo/35/10.md

395 B

Maelezo ya Jumla

Musa anaendelea kuwaambia watu nini Mungu kawaamuru kufanya.

Kila mwanaume mwenye ustadi

"Kila mwanaume aliye na ustadi"

vifungo

Vifungo vinatoshea kwenye vishimo vyake kushikilia pazia pamoja.

sakafu

Hivi ni vitu vizito vinavyo kaa chini na kuwezesha visisogee.

kiti cha rehema

Hichi ni kiti kinacho keti juu ya sanduku ambapo sadaka ya upatanisho yatolewa.