sw_tn/exo/35/04.md

241 B

Maelezo ya Jumla

Musa akawambia Waisraeli wafanye vitu Yahweh alivyo muamuru katika 25:3

Chukuwa sadaka kwa ajili ya Yahweh

"Chukuwa matoleo kwa ajili ya Yahweh"

wote wenye moyo mkunjufu

Hapa "moyo" ya husu mtu anaye leta sadaka.