# Maelezo ya Jumla Musa akawambia Waisraeli wafanye vitu Yahweh alivyo muamuru katika 25:3 # Chukuwa sadaka kwa ajili ya Yahweh "Chukuwa matoleo kwa ajili ya Yahweh" # wote wenye moyo mkunjufu Hapa "moyo" ya husu mtu anaye leta sadaka.