sw_tn/exo/34/25.md

247 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

damu ya dhabihu yangu

Ukweli kwamba damu ni ya wanyama ina weza andikwa wazi.

hamira yeyote

Ukweli kwamba hamira ye yote yaweza kuwa kwenye mkate yaweza andikwa wazi.