# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # damu ya dhabihu yangu Ukweli kwamba damu ni ya wanyama ina weza andikwa wazi. # hamira yeyote Ukweli kwamba hamira ye yote yaweza kuwa kwenye mkate yaweza andikwa wazi.