sw_tn/exo/34/21.md

446 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

Ata wakati wakilimo na wa mavuno

"Ata unapo andaa ardhi au kukusanya mazao"

Sherehe ya Makusanyo

Sherehe ilijulikana kama pia Sherehe ya Mahifadhi au Sherehe ya Mabanda. Wazao lilikuja kutoka kwa walimaji walipo ishi kwenye vibanda vya muda mfupi, au nyumba za nyasi, nje kwenye mashamba kulinda mazao yanapo komaa. Neno "Makusanyo" ina maana wanapo vuna mazao yao.